pmbet

TAFITI: Wanaume wafupi wana uwezo mkubwa wa kufanya mapenzi kuliko warefu

Eric Buyanza

February 9, 2024
Share :

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Jarida la Sexual Medicine, wanaume wafupi wana uwezo mkubwa wa kujamiiana. Utafiti huo ulioshirikisha wanaume 531 uligundua uwezo wa wanaume wafupi kujamiiana ulikuwa mkubwa zaidi ya wanaume warefu.
 

Utafiti mwingine kutoka Chuo Kikuu cha New York nchini Marekani uligundua kuwa sio tu kwamba wanaume wafupi hufanya ngono zaidi, bali pia wana uwezekano mdogo sana wa kuwataliki (kuwaacha) wapenzi wao ukilinganisha na wanaume warefu.
 

Wanaume wafupi kwa ujumla hudumu zaidi kwenye mahusiano!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet