Taifa Stars kusaka ushindi leo dhidi ya Madagascar.
Joyce Shedrack
September 29, 2026
Share :
Timu ya Taifa @taifastars_ inatarajia kushuka dimbani majira ya saa 11 jioni Nchini Morocco ikiwa ni mchezo wa kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Madagascar.

Huo utakuwa mchezo wa 9 kwa Miguel Gamondi tangu awe kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania.
Matokeo ya michezo 8 ya Stars ya Miguel Gamondi hii hapa;
Kuwait 4-3 Tanzania
Nigeria 2-1 Tanzania
Uganda 1-1 Tanzania
Tanzania 1-1 Tunisia
Morocco 1-0 Tanzania
Tanzania 0-1 Liechtenstein
Tanzania 6-0 Macau
Tanzania 0-2 Guinea Bissau





