Taifa Stars Kushuka dimbani leo kuwania Kufuzu kombe la dunia dhidi ya Zambia
Sisti Herman
June 11, 2024
Share :
Timu ya Taifa 'Taifa Stars' inashuka dimbani leo ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Lavy Mwanawasa mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Chipolopolo kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Katika kundi E, Tanzania ipo nafasi ya nne huku Chipolopolo ikiwa ya pili kwenye msimamo wenye timu sita.
Mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku kwa saa Afrika Mashariki.