pmbet

Taifa Stars kuwafuata Morocco Kesho

Sisti Herman

March 20, 2025
Share :

 

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitaondoka kesho saa tatu asubuhi kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu kombe la Dunia.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitaondoka jijini Tanga saa sita usiku wa leo kuelekea mkoani kwaajili ya safari ya kuelekea nchini Morocco kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Mchezo wa Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco utachezwa Machi 25, 2025 Oujda, Morocco.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet