Taifa Stars yaanza kurejea
Sisti Herman
January 28, 2024
Share :
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imeanza safari ya kurudi Tanzania baada ya ushiriki wake kwenye mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast.
Stars imemaliza mkiani mwa kundi F lilokuwa na timu za Morocco, Zambia na DR Congo, ikiwa na alama 2 baada ya michezo mitatu, ikifungwa mchezo mmoja, sare 2.
Morrco na DR Congo wameendelea kwenye hatua ya mtoano.