pmbet

Taifa Stars yaichapa Mongolia

Sisti Herman

March 25, 2024
Share :

Timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars" imeibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya timu ya Taifa ya Mongolia na kukamilisha ratiba ya mwezi machi kwenye FIFA Series 2024.

Stars ambayo kabla ya mchezo huu ilitoka kufungwa 1-0 na Bulgaria kwenye FIFA Series 2024, Magoli yake leo yamefungwa na Kelvin John, Abdul Suleiman "Sopu" na Novatus Dismas.

Mongolia iliyocheza na Stars ipo nafasi ya 190 kwenye viwango vya FIFA huku Tanzania ikiwa nafasi ya 119, matokeo hayo yanatazamia kuongeza alama za Stars na pengine kupanda kabisa nafasi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet