Taifa Stars yapoteza mchezo wa FIFA Series dhidi ya Liechtenstein.
Joyce Shedrack
March 26, 2026
Share :
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepoteza mchezo wa michuano ya FIFA Series inayofanyika Nchini Rwanda kwa goli 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Liechtenstein.

Tanzania itacheza dhidi ya Macau kutafuta nafasi ya mshindi wa tatu wakati Liechtenstein itacheza dhidi ya Aruba kumtafuta Bingwa michuano hiyo.





