Timu ya Taifa (Taifa Stars) imewasili Zanzibar kujiandaa na mechi ya marudiano na Nigeria ya kufuzu PAMOJA AFCON 2027 itakayochezwa Novemba 17, 2026 kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar