pmbet

Tajiri wa Facebook aingia '3 bora' matajiri duniani

Sisti Herman

August 7, 2024
Share :

Mmiliki wa kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Instagram na Facebook bwana Mark Zuckerberg ameingia kwenye tatu bora ya watu wanaoongoza kwa utajiri duniani kwa mujibu orodha ya watu matajiri duniani iliyochapishwa na watakwimu wa Forbes.

Hii ni orodha ya '3 bora' wanaoongoza kwa Utajiri duniani;

1. Elon Musk - Utajiri wa dola bilioni 234 (zaidi ya Trilioni 630)
2. Jeff Bezos - Utajiri wa dola bilioni 202 (zaidi ya Trilioni 540)
3. Mark Zuckerberg - Utajiri wa dola bilioni 178 (zaidi ya Trilioni 480)

Hisa za kampuni hiyo zilipanda 6%, na kuleta bei kwa $504.31 kila moja, ambayo ilichangia kukuza kwa thamani ya Zuckerberg, ambayo sasa ina thamani ya $178 bilioni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet