Takwimu za Kihistoria kwenye Kariakoo Derby
Sisti Herman
March 1, 2026
Share :

Yanga na Simba leo saa 2:15 usiku kwenye dimba la Amaan Complex zitachecheza mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu.
Haya ni baadhi ya mambo ya kihistoria kuhusu klabu hizo kongwe na watani wa jadi zinapokutana;
👉 Kukutana (Head to Head) - 142
- Simba kushinda - 41
- Yanga kushinda - 58
- Sare - 43
- Simba kupata hati safi (clean sheets) - 37
- Yanga kupata hati safi (clean sheets) - 51
👉 Kukutana kwenye ligi - 111
- Simba kushinda - 29
- Yanga kushinda - 41
- Sare - 41
- Simba imefunga mabao - 103
- Yanga imefunga mabao - 125
👉 Rekodi zingine
- Kukutana mara ya kwanza
• 7/6/1965
• Matokeo: Yanga 1-0 Sunderland
• Mfungaji wa bao: Mawazo Shomvi
- Ushindi mkubwa kati yao
• Simba 6-0 Yanga
• 10/7/1977
- Rekodi ya mabao mengi kwenye mechi 1
• Abdallah Kibaden
• Mabao matatu (hat-trick)
🔥 Next stop
🎮 Yanga vs Simba
🏟️ Amaan Stadium
🕰️ 20:15pm
Chanzo: Dawati la takwimu PMTV





