pmbet

Tale aibua mazito ya Morogoro Bungeni

Eric Buyanza

April 18, 2024
Share :

Mapema leo April 18, Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akiwa Bungeni mjini Dodoma amesema jimbo lake lina vituo vya Afya lakini halina vyumba vya kuhifadhia maiti.

Tale ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI

“Samahani kwa kusema hivi mtu anakwenda ana Rest in Peace lakani hapa ana rest na stress kwa sababu tuongee ukweli mtu umefiwa halafu bado utafute gari ya kwenda kuhifadhi maiti Mjini” ameshangazwa Tale.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet