pmbet

Tanzania ina deni dogo Afrika - IMF

Sisti Herman

January 9, 2024
Share :

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limechapisha orodha ya nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa zaidi, huku Tanzania ikiwa haijatajwa kwenye orodha hiyo hali iliyotafsiri kama uwepo wa ufanisi katika usimamizi  wa bajeti na sera zake za kiuchumi.

 

Tanzania kutokuwepo kwenye orodha ya nchi zenye deni kubwa inaweza kutafsiriwa kama ishara chanya kwa wawekezaji na taasisi za fedha za kimataifa, ikionyesha kwamba viwango vya madeni ya Tanzania ni endelevu na vinaweza kudhibitiwa ikilinganishwa na nchi nyingine.

 

Orodha ya nchi zenye deni kuvwa kwa mujibu wa IMF;

 

1. Misri Tsh Trilioni 30.1

2. Angola Tsh Trilioni 7.9

3. Afrika kusini Tsh Trilioni 6.7

4. Ivory Coast Tsh Trrilioni 5.7

5. Kenya Tsh Trilioni 5.2

6. Nigeria Tsh Trilioni 4.6

7. Ghana Tsh Trilioni 4.1

8. Morocco Tsh Trilioni 3.7

9. Congo DR Tsh Trilioni 3.2

10. Tunisia Tsh Trilioni 3.2

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet