pmbet

Tanzania ipo 'Top 10' ya nchi za Afrika zenye madeni makubwa IMF

Sisti Herman

March 20, 2025
Share :

 

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha duniani (IMF) iliyochapishwa na Idhaa ya kiswahili ya shirika la Utangazaji la Uturuki (TRT), Tanzania imetajwa kuwa nafasi ya 9 kwenye orodha ya nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa IMF.

Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa zaidi IMF;

1. Misri Dola Bilioni 10 
2. Kenya Dola Bilioni 3
3. Angola Dola Bilioni 2.9
4. Ivory Coast Dola Bilioni 2.6
5. Ghana Dola Bilioni 2.4
6. Ethiopia Dola Bilioni 1.4
7. Cameroon Dola Bilioni 1.0
8. Senegal Dola Bilioni 1.0
9. Tanzania Dola Bilioni 1.0
10. Zambia Dola Bilioni 0.9

Chanzo; IMF

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet