pmbet

Tanzania kucheza mechi za Kirafiki dhidi ya Morocco

Sisti Herman

May 19, 2025
Share :

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Morocco kwenye Kalenda ya FIFA mwezi Juni.

 



Mechi ya Kwanza itachezwa Juni 6 na mechi ya pili itachezwa Juni 10 na mechi zote hizo zitachezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet