Tanzania na Dr Congo kuchuana kufuzu Afcon 2025.
Joyce Shedrack
July 4, 2024
Share :
Timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi H kwenye mashindano ya kuwania kufuzu mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON yatakayofanyika Nchini Morocco mwaka 2025.
Tanzania itacheza na Dr Congo,Guinea pamoja na Ethiopia ili kutafuta alama zitakazoiwezesha timu hiyo kukata tiketi ya kushiriki mashindano hayo.