pmbet

Tanzania na Qatar kushirikiana kidiplomasia

Sisti Herman

September 29, 2026
Share :

 

Tanzania na Qatar, zimetiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika nyanja za kisiasa na kidiplomasia.

Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara kutoka Tanzania, Judith Kapinga kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar, Dkt. Ahmad Hassein AI Hammadi katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar, jijini Doha tarehe 28 Septemba, 2026.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kisiasa na kidiplomasia baina ya Qatar na Tanzania.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet