Tanzania uso kwa uso na Nigeria kufuzu AFCON 2027.
Joyce Shedrack
May 19, 2026
Share :
Tanzania imepangwa kundi L kwenye michuano ya Kufuzu AFCON 2027.
Nigeria 🇳🇬
Madagascar 🇲🇬
Tanzania 🇹🇿
Guinea Bissau 🇬🇼

Tanzania itashiriki michezo ya mchujo ya kufuzu AFCON 2027 licha ya kuwa tayari imefuzu kutokana na kuwa mwenyeji hivyo kwenye kundi L anatafutwa mshindi mmoja wa kuungana na Tanzania kushiriki michuano hiyo.





