pmbet

Tanzania yatwaa ubingwa wa Afrika wa mashindano ya shule.

Joyce Shedrack

September 5, 2026
Share :

Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 15 Tanzania imeandika imetawazwa kuwa mabingwa wa Afrika wa mashindano ya shule ukanda wa CECAFA baada ya kuifunga Kenya mabao 3-0 katika mchezo wa fainali.

Tanzania imetwaa ubingwa huo katika fainali za michuano hiyo zilizofanyika Nchini Rwanda.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet