pmbet

Tanzia: Alute Lissu, kaka wa Tundu Lissu afariki dunia

Sisti Herman

November 1, 2026
Share :

 

Wakili Alute Mughwai Lissu, ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na dada yake, Rose Masesa.

Akizungumzia chanzo cha kifo hicho, Rose amesema kwa sasa hawezi kutoa maelezo zaidi, huku akithibitisha kuwa msiba upo jijini Arusha na kwamba anaelekea huko.

“Ni taarifa za kweli, msiba upo Arusha na mimi naelekea huko,” amesema Rose kwa ufupi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet