Tanzia; Gadner G. Habash afariki dunia
Sisti Herman
April 20, 2024
Share :
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash amefariki dunia leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu
PM TV tunatoa pole kwa familia ya Clouds Media Group , ndugu jamaa na marafiki.