TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Yanga afariki dunia
Eric Buyanza
April 8, 2024
Share :
Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga, Sifa Poltan, Sigara, Pilsner pamoja na Taifa Stars, Seleman Mkati, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kudondoka akiwa nyumbani kwake Tandika Magorofani.
Taarifa zaidi za maziko yake zitakujia hapo baadae.