pmbet

Tanzia...! Mwimbaji na kiongozi wa Zabron Singers afariki dunia.

Joyce Shedrack

August 22, 2024
Share :

Mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia usiku wa jana kwa ugonjwa wa Moyo akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mke wa Japhet Zabron,Lulu Franley amethibitisha kutokea kwa msiba huo uliotekea jana usiku na msiba utakuwa Mikocheni kwa mama yake mdogo,mwili wa marehemu kwa sasa upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.

 

pmbet

pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League

pmbet
pmbet