Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa maarufu kwa jina la 'Mzee wa mjegeje' amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa anapatiwa matibabu.
Inna lillahiwa Inna ilayhi raji'un