pmbet

Tanzia:Bwege afariki Dunia.

Joyce Shedrack

March 30, 2026
Share :

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) amefariki Dunia mchana huu, akiwa kwenye Hospitali ya E.M Kigamboni.
Kuwa Bwege sio tatizo" - Seleman Bungara Bwege | East Africa Television
Enzi za uhai wake marehemu Bwege amewahi kutumikia vyama vya siasa vya CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza kujiunga na CHADEMA, ingawa mchakato rasmi wa kukabidhiwa kadi ya chama hicho ulikuwa haujakamilika.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet