pmbet

Tanzia;Nyota wa zamani wa Yanga Chico Ushindi afariki Dunia.

Joyce Shedrack

December 13, 2025
Share :

Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Kinshasa Nchini Congo.

CHICO USHINDI- skills | Goals | speed From Tp Mazembe - YouTube

Vyombo vya habari vimeripoti taarifa za nyota huyo aliyekiwasha katika timu za ligi kuu DR Congo na Nje ya mipaka ya Taifa hilo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet