pmbet

Tarimba apendekeza wabunge wawe na Plate number maalum

Sisti Herman

June 11, 2025
Share :

 

Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.

Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet