Shabiki wa mwanamuziki Diamond Platinumz siku ya Jumamosi kwake ilikuwa siku yake ya bahati kubwa…baada ya kujikuta akimwagiwa mihela kutoka kwa msanii huyo. Fuatilia video hapo chini