pmbet

Tekashi 6ix9ine jela mwezi mmoja kwa kuvunja masharti ya kifungo.

Joyce Shedrack

November 8, 2024
Share :

Daniel Hernandez Rapa kutokea Nchini Marekani anaefahamika sana kwa jina la 'Tekashi 6ix9ine' kupitia waendesha mashtaka wamefikia makubaliano ya rapa huyo kufungwa jela siku 30 kwa kukiuka masharti aliyokuwa amepewa na mahakama na hii ni baada ya Rapa huyo kushindwa kuhudhuria kufanya vipimo vya kiafya juu ya utumiaji wa dawa za kulevya kama vile Marijuana na Meth na badala yake kusafiri kwenda Las Vegas NYC bila ruhusa.

Rapa Tekashi alikamatwa hivi karibuni Octoba 29 kwa tuhuma za kesi za ulaghai, kukutwa na silaha pamoja na umiliki wa kundi la kihalifu, ambapo kwa mujibu wa nyaraka za kimahakama Tekashi yupo kizuizini katika Gereza la Metropolian Detention Center Brooklyn, New York anatarajiwa pia kufika mahakamani Novemba 12 kujibu mashtaka.

Kifungo chake hichi kitahusisha siku 30 akiwa ndani ya jela na mwezi mmoja mbele kifungo cha nnje, Mwaka 2019 Tekash alikuwa akitumikia kifungo cha nnje cha namna hii baada ya kukiri na kutoa ushirikiano kwa mahakama.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet