Teknolojia ya kupandikiza kichwa cha binadamu yavumbuliwa
Sisti Herman
May 26, 2024
Share :
Kampuni ya teknolojia ya viumbe hai ya Brain Bridge imevumbua teknolojia itumiayo akili mnemba kwaajili ya kufanya upandikizaji wa kichwa cha binadamu.
Katika video waliyochapisha kwenye mtandao wa kijamii, teknolojia hiyo imeonekana kufanya kwa haraka ubongo wa binadamu mmoja kwenda kwa mwingine.
Je kama utaambiwa ubadilishane kichwa na mtu mwingine, ungechagua kichwa cha nani?