pmbet

Temba Zwane kuikosa ya Yanga kwa Mkapa

Eric Buyanza

March 26, 2024
Share :

Habari zikufikie kuwa nahodha wa kikosi cha Mamelodi, Temba Zwane hatacheza mchezo wa Jumamosi dhidi ya Yanga kutokana na kuwa na kadi tatu za njano alizopewa kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kiungo huyo alipewa kadi kwenye michezo miwili dhidi ya TP Mazembe na kwenye mchezo wao dhidi ya Pyramids.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet