Tetemeko laua zaidi ya 100 China
Sisti Herman
December 19, 2023
Share :
Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 kwa kipimo cha Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250 na kuharibu Nyumba 4,782.
Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemo zaidi inaweza kutokea, baada ya mitetemo mingine 10 kurekodiwa katika maeneo ya Tibetani.