TETESI ZA MICHEZO: Jamal musiala kwenda kuwa mbadala wa Kevin de Bruyne pale Man City
Eric Buyanza
July 27, 2024
Share :
Miamba ya soka la England klabu ya Manchester City inapanga kumfanya kiungo wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Jamal Musiala, mwenye umri wa miaka 21, kuwa mrithi wa kiungo mchezeshaji wao Kevin de Bruyne.