Klabu ya Al-Ittihad ya Saudia, inataka kumsajili beki wa Real Madrid, Antonio Rüdiger. Klabu hiyo imetoa ofa ya mshahara wa Euro milioni 12 mpaka 13 kwa msimu.