TETESI ZA SOKA: Arsenal wako kwenye nafasi nzuri kumnasa msweden, Viktor Gyokeres
Eric Buyanza
July 29, 2024
Share :
Klabu ya Arsenal iko katika nafasi nzuri zaidi ya kumsajili mshambuliaji wa Sweden, Viktor Gyokeres kutoka Sporting Lisbon, huku klabu za Liverpool na Tottenham zikionesha nia pia kwa ajili ya kutaka huduma ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26.