Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano na Klabu ya Bologna ya Italia kwa ajili ya kumnunua mchezaji Riccardo Calafiori.Riccardo anaondoka Bologna kwa kitita cha Euro Milioni 45