TETESI ZA SOKA: Chelsea, PSG na Arsenal kwenye vita ya kumgombea Osimhen
Eric Buyanza
March 15, 2024
Share :
Chelsea wanahofia kuwa watamkosa mchezaji wa Napoli, Victor Osimhen, 25, katika uhamisho wa majira ya joto.
Wakati hayo yakiendelea, Paris St-Germain na Arsenal wanazidi kuongeza juhudi katika kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji huyo mahiri wa timu ya taifa ya Nigeria.