TETESI ZA SOKA: Chelsea yaweka mezani kitita cha Euro 70m ili kumnasa Samu Omorodion
Eric Buyanza
July 27, 2024
Share :
Chelsea bado wanang'ang'ana kwenye harakati za kuinasa saini ya mchezaji Samu Omorodion licha ya ofa zao kadhaa za awali kukataliwa.
Safari hii wamejipukutisha na sasa OFA ya takriban Euro Milioni 70 waliyoitoa huenda ikatosha kubadilisha msimamo wa Atletico kuhusu mshambuliaji huyo.