TETESI ZA SOKA: Kwa dau hili huenda Paris St-Germain wakamnyakua Victor Osimhen
Eric Buyanza
April 6, 2024
Share :
Taarifa zikufikie kuwa klabu ya Paris St-Germain wako tayari kulipa pauni milioni 111.5 ili kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, 25.
Mabingwa hao watetezi wa Ufaransa wanataka kushindana na vilabu kutoka Saudi Arabia ambavyo pia viko katika kinyang'anyiro hicho.