TETESI ZA SOKA: Liverpool waungana na Man u/Chelsea kwenye vita ya kumgombea Neves
Eric Buyanza
April 1, 2024
Share :
Klabu ya Liverpool wameungana na Manchester United pamoja na Chelsea kwenye mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Benfica na Ureno Joao Neves
Neves kijana mdogo mwenye umri wa miaka 19 mkataba wake na Benfica una kipengele cha (kuuvunja) cha euro milioni 120.