TETESI ZA SOKA: Man city iko tayari kutoa pauni milioni 120 kumnunua Jamal Masiala
Eric Buyanza
April 13, 2024
Share :
Manchester City ni mojawapo ya klabu kubwa za Ulaya zilizo kwenye mbio za kuhakikisha inafanikiwa kwa njia yoyote kumnunua mshambuliaji wa Bayern Munich ya ujerumani, Jamal Musiala.
Taarifa zinaeleza kuwa Manchester City wako tayari kutumia pauni milioni 120 kwa ajili ya kumshawishi mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21.