TETESI ZA SOKA: Man United watangaza ofa ya Euro milioni 35 kuipata saini ya Matthijs de Ligt
Eric Buyanza
July 22, 2024
Share :
Manchester United wametoa ofa yao ya kwanza ya euro milioni 35 kwa ajili ya kumsajili mchezaji wa Bayern Munich, Matthijs de Ligt, hata hivyo Bayern wamechomoa wanataka zaidi ya Euro milioni 50.