TETESI ZA SOKA: Man Utd yaongeza kibunda ili kumnasa kiungo wa Benfica, Joao Neves
Eric Buyanza
July 5, 2024
Share :
Gazeti la Ureno, Corrieo da Manha, limeripoti kuwa Manchester United imeongeza dau kwa ajili ya kuipata saini ya kiungo wa Benfica, Joao Neves.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, United imeweka mezani ofa ya pauni milioni 59 kwa ajili ya kumnasa mchezaji huyo.