TETESI ZA SOKA: Manchester City wanaangalia uwezekano wa kumnunua Bruno Guimaraes
Eric Buyanza
March 16, 2024
Share :
Manchester City wamefanya mawasiliano kuhusu uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle United na Brazil, Bruno Guimaraes.
Kiungo huyo kwasasa ana umri wa miaka 26.