pmbet

TETESI ZA SOKA: Mkorofi Baloteli sasa kwenda kukipiga Brazil

Eric Buyanza

July 13, 2024
Share :

Michezo Mchezaji mtata wa zamani wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli, yuko kwenye mazungumzo yatakayomuwezesha kujiunga na klabu ya Corinthians ya Brazil kama mchezaji huru, amethibitisha mkurugenzi wa Corinthians, Claudinei Alves. 

"Balotelli anataka mshahara wa euro milioni sita kwa miaka miwili, ambayo ni sawa na euro milioni 3 kwa mwaka,"

“Corinthians wanaweza kutoa mkataba wa miaka miwili....Rais wa timu anafanya mazungumzo na mawakala wake kujadili mpango huo.” alimalizia Claudinei Alves wakati akiongea na chanzo cha habari hii.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet