pmbet

TETESI ZA SOKA: Mshike mshike vilabu kusaka saini ya Jarrad wa Everton

Eric Buyanza

March 25, 2024
Share :

Klabu ya Manchester City inamfuatilia kwa ukaribu beki wa kati wa Everton Jarrad Branthwaite kuona namna itapata saini yake, huku klabu za Manchester United, Tottenham Hotspur pamoja Real Madrid ya uhispania zikionesha nia za kumtaka mchezaji huyo wa kiingereza mwenye umri wa miaka 21.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet