TETESI ZA SOKA: Ni vita ya kumgombea mholanzi Donyell Malen
Eric Buyanza
March 18, 2024
Share :
Klabu ya Liverpool wameungana na The Gunners (Arsenal) pamoja na Manchester United kwenye kumfukuzia winga wa Borussia Dortmund, Donyell Malen.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi, mwenye umri wa miaka 25 anatarajiwa kupewa ruhusa ya kuondoka Dortmund kwenye msimu wa majira ya joto.