TETESI ZA SOKA: Real madrid yamnyemelea beki wa kulia wa Liverpool
Eric Buyanza
March 23, 2024
Share :
Wakati Daniel Carvajal akikaribia kuondoka baada ya mkataba wake kukaribia kuisha, klabu ya Real Madrid ya Hispania macho yote yameelekezwa nchini Uingereza ambapo wanafikiria uwezekano wa kumnunua Trent Alexander-Arnold, beki wa kulia wa Liverpool.
Trent mwenye umri wa miaka 25, kandarasi ya pale Anfield inatamatika mwaka ujao.