pmbet

TETESI ZA SOKA: Simba yakamilisha usajili wa Elie Mpanzu kutoka AS Vita

Eric Buyanza

July 1, 2024
Share :

Uongozi wa Klabu ya Simba umefanikiwa kuipata saini ya winga kutoka klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Elie Mpanzu Kibisawala.
 

Mpanzu mwenye umri wa miaka 22 ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakisumbua vichwa vya mabosi wa klabu hiyo ili kusaidia kukijenga upya kikosi chao baada ya kukosa ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu mfululizo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet