TETESI ZA SOKA: Tottenham wataka pauni milioni 60 kumuachia Richarlison kwa Al-Ahli
Eric Buyanza
July 22, 2024
Share :
Klabu ya Tottenham Hotspur wanataka Pauni milioni 60 kwa timu itakayotaka kumsajili mchezaji wao mbrazil Richarlison.
Hili linakuja baada ya klabu ya Saudi Pro League, Al-Ahli kuonyesha nia ya kutaka kumsajili mchezaji huyo.