TETESI ZA USAJILI: Newcastle wanajadili uwezekano wa kumsajili Pedro Neto wa Wolves
Eric Buyanza
March 9, 2024
Share :
Usajili Newcastle wanajadili uwezekano wa kumsajili Pedro Neto kutoka Wolves msimu huu.
Inaelezwa kuwa wako tayari kutoa dau la takriban £60m inayodhaniwa kuwa inatosha kumsajili winga huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 23 - ingawa Liverpool nao wameonyesha nia ya kumtaka.